Business

header ads

QUEEN ELIZABETH ASHINDA MISS TANZANIA 2018

EM SAFE AND SOUND

Mrembo Queen Elizabeth kutoka Zone ya Dar es salaam amefanikiwa kushinda taji la urembo katika shindano la Miss Tanzania Usiku wa kuamkia leo September 9, 2018
Mrembo huyo amefanikiwa kuondoka na taji hilo huku akiwamwaga wenzake 19 baada ya kuingia tano bora.
Kati ya warembo hao warembo watatu walijibu maswali kwa lugha ya Kiingereza huku warembo wawili yaani aliyeshika nafasi ya tano na ya nne hao waliweza kujibu maswali kwa kutumia lugha ya taifa ya kiswahili huku mshindi namba tatu mpaka namba moja wakijibu kwa lugha ya kiingereza.
Mrembo Queen Elizabeth amekabidhiwa taji hilo kutoka kwa mshindi wa taji hilo mwaka jana Miss  Diana Flave.

Post a Comment

0 Comments