Business

header ads

"WANAOREJEA CCM NI WALE WALIOFANYIWA FIGISU" RAIS MAGUFULI
Kamati
Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) leo imekutana na kufanya
kikao chake ambacho kimepitisha majina ya wagombea wa ubunge watatu
katika majimbo matatu ya Ukonga, Korogwe Vijijini na Monduli.

Post a Comment

0 Comments