Business

header ads

RAIS MAGUFULI AMALIZA UTATA WA MAFUTA BANDARINIRais
John Magufuli leo amemaliza sakata la mafuta ya uto (kula) baada ya
kuagiza kampuni tatu kulipa asilimia 25 ya kodi baada ya kubaini
matanki saba kati ya yaliyokaguliwa yana mafuta safi yanayofaa kwa
ajili ya matumizi.

Post a Comment

0 Comments