Business

header ads

MATOKEO KIDATO CHA NNE 2017Jumla
ya watahiniwa 287,713 sawa na asilimia 77.09 ya watahiniwa walifanya
mtihani wa kidato cha nne mwaka 2017 wamefaulu, ambapo wasichana
waliofaulu ni 143,728 sawa na asilimia 75.21 wakati wavulana
waliofaulu in 143,985 sawa na asilimia 79.06.

Post a Comment

0 Comments