Business

header ads

BONDIA MAYWEATHER AMSHINDA MCGREGOR

 

Bondia Floyd Mayweather amemshinda Conor McGregor katika raundi ya 10 katika pambano la ngumi ambalo lilikuwa likifuatiliwa na watu wengi duniani, na kufikisha rekodi ya kushinda mapambano 50 bila ya kupigwa.


Pambano hilo lililopewa jina la Money Fight limefanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa T-Mobile Arena Jijiji Las Vegas Marekani McGregor alianza kuwa kumpa wakati mgumu Maywaether katika raundi ya kwanza.


Hata hivyo Mayweather alibadilika katika raundi ya nne wakati McGregor akionekana kuchoka na ilipofika raundi ya 10, Maywether alirusha ngumi nzito ya kushoto iliyomuangusha kwenye kamba za ulingo McGregor.

Post a Comment

0 Comments