Business

header ads

NEC YATEUA WABUNGE NANE WAPYA CUFTume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) imeteua wabunge wanane wa chama cha wananchi CUF, baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye kwa mujibu wa kifungu cha 37 kifungu kidogo cha 3 kuiarifu Tume kuwepo kwa nafasi hizo, kufuatiwa kutenguliwa kwa Ubunge wa wabunge waliokuwa wanashikilia nafasi hizo.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo Ramadhan Kailima, imewataja wabunge hao kuwa ni, Rukia Ahmed Kassim, Shamsia Aziz Ntamba, Kizza Hussein Mayeye, Zainabu Mndolwa Amir, Hindu Hamis Mwenda, Sonia Juma Magogo, Afredina Apolinary Kahigi, na Nuru Awadhi Bafadhil.

Post a Comment

0 Comments