Business

header ads

JAJI MWENDWA MALECHELA AJIUZULU

 
Rais John Magufuli ameridhia ombi la Jaji wa Mahakama Kuu Mhe. Mwendwa Judith Malecela kujiuzulu wadhifa wake.

Mhe. Rais Magufuli ameridhia kujiuzulu kwa Mhe. Mwendwa Judith Malecela kuanzia leo tarehe 20 Juni, 2017.

(Pichani: Wakati akiapishwa kuwa jaji na rais mstaafu Jakaya Kikwete.)

Post a Comment

0 Comments