Business

header ads

TANZANIA YAONESHA USTAHIMILIVU KATIKA UKUAJI WA UCHUMITanzania imetajwa kuwa ni moja ya nchi tatu za Kusini mwa Sahara ambazo zinaendelea kuonyesha ustahimilivu katika ukuaji wa uchumi.

Hayo yamebainishwa leo jijini hapa na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Burundi, Malawi na Somalia, Bella Bird kwenye uzinduzi wa ripoti ya tisa ya hali ya uchumi Tanzania.

"Viwango vya ukuaji uchumi vya Tanzania vinaendelea kuzipiku majirani zake Afrika Mashariki , ustahililivu wa kiuchumi unatokana na sifa kadhaa, ina vyanzo anuwai vya ukuaji ,"amesema Bird.

Amesema robo ya pato ghafi la Taifa linatosha na kilimo, wakati nusu nyingine inatokana na sekta tano lakini kwa mwaka 2016 zilizoongoza ni sekta ya madini, uzalishaji viwandani na sekta ya huduma.

SC: MWANANCHI

Post a Comment

0 Comments