Business

header ads

WATUMISHI TRA WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA DAWA ZZA KULEVYA


Watumishi Wawili Wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanashikiliwa na vyombo vya dola wakituhumiwa kujihusisha na upitishaji Wa kemikali ambazo hutumika kutengenezea dawa za kulevya aina ya Heroin.

Kukamatwa kwa watumishi hao wa umma kumetangazwa  leo na Kamishina Wa Operasheni ya Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya Mihayo Msekela.

Post a Comment

0 Comments