Business

header ads

MKUU WA MKOA WA DAR PAUL MAKONDA ATOA SIKU 1OMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametoa siku 10 Wenyeviti wa Mtaa kwenye mitaa yote Dar es salaam kutoa taarifa za mtaa wake juu ya dawa za kulevya.

Mh. Makonda ameyasema hayo wakati akizungumza na vyombo vya habari jiji Dar es Salaam ambapo pia amewataka wazazi kuanzia kesho kama anaishi na mtoto anatumia dawa za kulevya na unaishi nae, kufika kituoni cha kati kwaajili ya kutoa taarifa.

tukikukamata baada ya siku kumi na mwanao anahusika tutaamini na wewe ulikua sehemu ya kumfanya mtoto wako atumie dawa za kulevya”alisema Makonda

Natoa siku 10 kwa Wafanyabiashara na Watumiaji wa dawa za kulevya, wenyewe Polisi kwa kamishna, kama umekua ukifanya biashara ya dawa za kulevya na umeacha njoo Polisi, nguvu tunayo, uwezo tunao…. hakuna kiunga tutashindwa kufika, hizi kelele nyingine zinatupa hamasa”

Post a Comment

0 Comments