Business

header ads

MAAGIZO MUHIMU KUONOGESHA MAHABA


MWANAMKE.
(1)ukiolewa tambua huyo mumeo ni sawa na mtoto wako wakwanza,hivyo hakikisha anaoga,anakula,anavaa vizuri,anawahi kurudi nyumbani pia hakikisha anafanya kazi kwa bidii kwa kumpa moyo kwenye kazi.
(2)Ukiolewa tambua unaenda kuishi katika familia nyingine kwahiyo vitu ulivyovizoea ukiwa kwako lazima uviweke pembeni.
(3)Ukiolewa usimwibie mumeo na kuenda kujenga nyumbani kwa mama yako kwani kama mama yako angemwibia baba yako usingeweza kusoma wala usingepata mahitaji muhimu.
MWANAUME.
(1)Ukioa tambua huyo mkeo ni sawa na mama yako wapili hivyo lazima umuheshimu, umjali na kumtunza,kamwe usimtukane wala kumshusha hadhi kwani ndie arakaekufanya uitwe baba.

(2)Muweke wazi kwa mambo yanayowezekana kwa maana huyo ndio zaidi ya ndugu zako kwa wakati huo japo wanasema damu ni nzito kuliko maji, ila ukishaoa mkeo ni sawa na maji jangwani.
(3)Kugombana kupo ndani ya nyumba ila jua mwanamke hapigwi kwa rungu bali mfunze kwa maneno ya hekima hapo itakua zaidi ya kumpiga.

Post a Comment

0 Comments