Business

header ads

BAADHI YA NUKUU ZA WEMA SEPETU NA WAANDISHI WA HABARINatamka rasmi nimeamua mwenyewe kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenda Chadema"

Wema Sepetu amesema "Naamini uamuzi wangu ni muhimu... Nimeingia kwenye vita na niko tayari kupigana

Nilikua najiuliza, kitu gani nimekosea mpaka nafanyiwa hivi?

Kilichotokea kwangu (kuhusu tuhuma za madawa ya kulevya) ni kama uonevu"

Nilipokua kada, nilijitoa muda wangu na maisha yangu. Lakini, nilivyotegemea havikutokea. Sisemi nilitaka kubebwa au la"

Nilizaliwa na kulelewa ndani ya CCM. Baba yangu alikua kada na alipofariki nadhani aliniachia ukada" -

Post a Comment

0 Comments