Business

header ads

WABUNGE CUF WAIMARISHA CUF

 

Mwenyekiti wa kamati ya uongozi ya chama cha wananchi CUF Bw. Julius Mtatiro amesema licha ya chama hicho kukosa ruzuku kutoka serikalini lakini kimekuwa kikijiendesha kwa kutumia michango ya wanachama wake wakiwemo wabunge.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Bw. Mtatiro amesema nidhamu ya viongozi mbali mbali wa chama ambao wanaonesha kuwa na nia njema na chama hicho ndio njia pekee inayosaidia kuendelea kustawi kwa chama hicho
Amewataka wanachama na wananchi kwa ujumla kutosita kuonesha ushiriki wao pale wanapoona wana wajibu wa kufanya hivyo kwani CUF imejengwa na wananchi ambao ni wanachama wa chama hicho

Post a Comment

0 Comments