Business

header ads

RAIS MAGUFULI ATOA ONYO KWA MAGAZETI MAWILI KWA HABARI ZA UCHOCHEZI


Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ameyaonya magazeti mawili yanayoandika habari za uchochezi na kupotosha wananchi kwa kuwa yanahatarisha amani ya nchini.
Rais Dkt. Magufuli Magufuli ametoa onyo hilo leo wakati akikagua na kufungua Kiwanda cha Jambo cha kuzalisha vinywaji baridi mkoani Shinyanga, bila ya kuyataja majina ya magazeti hayo mawili.

Post a Comment

0 Comments