Business

header ads

CHADEMA KUKATA RUFAA DHIDI YA HUKUMU YA MBUNGE WA KILOMBEROChama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, kimeanza taratibu za kukata rufani dhidi ya hukumu hiyo iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero kwa Mbunge wa Jimbo la Kilombero, Peter Lijualikali kuhukumiwa na Mahakama kifungo cha miezi sita jela.

Post a Comment

0 Comments