Business

header ads

MAWAKILI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

 


Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, amewataka Mawakili na watumishi wote walio katika ngazi za Mahakama kufuata maadili pamoja na kusaidia kupunguza mlundikano wa kesi.
Mh. Othman ametoa rai hiyo leo jijini Dar es Salaam,  katika hafla ya kuwatunuku Mawakili 285 Uwakili katika nyanja mbalimbali za kisheria ambapo wanaongeza idadi ya Mawakili kufikia 6,082 nchini hivi sasa.
 Amesema kuanzia mwaka 2015 walipokea malalamiko 71 na kwamba, 45% ya malalamiko hayo yana ukweli kwa kuwakosoa Mawakili kutowatetea wateja wao kwa kiwango cha sherua na wengine kufanya kazi bila kuwa na leseni.
 

Post a Comment

0 Comments