Business

header ads

MAHAFALI YA 34 YA CHUO CHA ARDHI – TABORA (ARITA)

  Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Yamungu Kayandabilia na viongozi wengine katika Meza Kuu, wakiwa tayari kuendelea na shughuli za mahafali ya 34 ya Chuo cha Ardhi – Tabora (ARITA)
  Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Yamungu Kayandabilia katika picha ya pamoja na Wahitimu wa kozi ya Ubunifu na Uchapishaji
  Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Yamungu Kayandabilia, akimkabidhi cheti mmoja wa aliyekuwa Kiongozi wa Wanachuo wa Chuo cha Ardhi – Tabora (ARITA)
Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Dkt. Yamungu Kayandabilia akiwa ameambatana na mwenyeji wake, Mkuu wa Chuo cha Ardhi – Tabora (ARITA); Bwn.Biseko Musiba

Post a Comment

0 Comments