Business

header ads

MTU MOJA AFARIKI DUNIA AJALI YA BASI LA SEKENKE

Mwanaume mmoja ambaye jina lake bado halijatambulika amekufa katika ajali ya basi lenye jina la Sekenke lenye nambari za usajili T845, ambalo lililokuwa likisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza.
Kamanda wa Polisi Mkoani Morogoro Ulirich Matei amethibitisha kutokea ajali hiyo na kusema imetokea majira ya saa tano asubuhi ambapo gari hilo lilihama njia na kugonga mti, ambapo majeruhi wamepelekwa katika hospitali ya mkoa ya Morogoro kwa matibabu zaidi.

Post a Comment

0 Comments