Business

header ads

KIONGOZI WA ZAMANI CUBA FIDEL CASTRO AFARIKI DUNIA


Kingozi wa Zamani wa  Cuba aliyeongoza mapinduzi ya Kikomunisti, Fidel Castro, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90, kakake ametangaza.

Rais Raul Castro  ametangaza kuwa kiongozi huyo alifariki dunia leo muda wa  saa nne.

Fidel Castro alitawala Cuba kama taifa la chama kimoja kwa karibu miaka 50 kabla ya kakake Raul kuchukua hatamu  mwaka 2008.

Katika kipindi cha uongozi wake Fidel Castro, aliweza kutengeneza uhusiano mzuri kati ya taifa lake na nchi za Afrika.

Post a Comment

0 Comments