Business

header ads

RAIS MAGUFULI AAGANA NA KIONGOZI MKUU WA MADHEHEBU YA BOHORA DUNIANI MTUKUFU DKT. SYEDNA MUFADDALRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli nawaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kassim Majaliwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin akikabidhi mfano wa hundi kwa ajili ya kusaidia maafa ya waathirika wa tetemeko la ardhi Mkoani Kagera Ikulu jijini Dar es salaam kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin amekabidhi hundi zenye jumla ya USD 250

Post a Comment

0 Comments