Business

header ads

RAIS DKT. MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA DCI DIWANI ATHUMANRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo  ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Bw. Diwani Athuman.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa Rais Magufuli ametengua uteuzi huo kuanzia leo.
Bw. Diwani Athuman atapangiwa kazi nyingine.
Kufuatia uamuzi huo, uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai utatangazwa baadaye.

Post a Comment

0 Comments