Business

header ads

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MEYA WA ZAMANI WA DAR ES SALAAM DKT. DIDAS MASABURI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete na viongozi wengine wakiwa jukwaa kuu katika shughuli ya kutoa heshima za  mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Massaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Oktoba 17, 2016
Wake wa marehemu na Sehemu ya wafiwa kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Massaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam Oktoba 17, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mkwe wake Mama Janeth Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho katika mwili wa Marehemu Didas John Massaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam ulipoletwa mwili wake kwa ajili ya kuagwa kabla ya mazishi yake yatakayofanyika nyumbani kwake Chanika Dar es salaam Oktoba 17,2016

Post a Comment

0 Comments