Business

header ads

RAIS DKT. MAGUFULI ASAINI MISWAADA MITANO KUWA SHERIARais Dk.
John Pombe Magufuli ameridhia na kusaini miswada mitano iliyojadiliwa katika
mkutano wa tatu wa Bunge kuwa sheria kamili za nchi.

Miswaada
iliyotiwa saini  na kuwa sheria ni pamoja
na Sheria ya Fedha na Matumizi ya mwaka 2016,  Sheria ya Fedha Namba 2 ya mwaka 2016,  Sheria ya Marekebisho ya Mambo Mbalimbali ya
mwaka 2016, Sheria ya Marekebisho Mbambali Namba 2 na 4 ya mwaka 2016 na Sheria
ya Marekebisho ya Ununuzi wa Umma Namba 5 ya mwaka 2016.
Post a Comment

0 Comments