Business

header ads

MWANZILISHI WA FACEBOOK MARKZUCKERBERG ALA UGALI SAMAKI


Katika kikao hicho, Zuckerberg na Waziri Mucheru alizungumza kuhusu mtandao na mpango wa serikali kuhakikisha kila kijiji kimeunganishwa na mtandao.

Zuckerberg alikula kwa mara ya kwanza ugali na samaki katika hoteli ya Mama Oliech iliyopo katika jiji hilo.
''Swala muhimu ninapozuru taifa lolote jipya ni kujaribu kula chakula chao.Nilipenda sana ugali na samaki mzima wa tilapia'',alisema Zuckerberg.

Post a Comment

0 Comments