Business

header ads

RAIS DKT.MAGUFULI AMTEUA BALOZI KIJAZI KUWA KATIBU MKUU KIONGOZIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amemteua Balozi Mhandisi John 

William Kijazi Kuwa Katibu mkuu kiongozi.

Kabla ya uteuzi huo mhandisi kijazi alikuwa balozi wa Tanzania nchini India
Kufuatia uteuzi huo aliyekuwa katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue atapangiwa kazi nyingine

Post a Comment

0 Comments