Business

header ads

BENKI YA DUNIA KUSAIDIA BAJETI YA TANZANIA KUTOKANA NA JITIHADA ZA RAIS MAGUFULIRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akisalimiana na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akizungumza na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiagana  na mwakilishi mkazi wa Benki ya dunia Bi. Bella Bird Ikulu jijini Dar es Salaam leo.


Post a Comment

0 Comments