Business

header ads

WANAMGAMBO 12 WA AL-SHABAAB WAUWAWA

Serikali ya Somalia imesema wanamgambo 12 wa Al Shabaab wameuwawa hapo jana kufuatia shambulio walilokusudia kufanya katika hotel mbili mjini Mogadishu kushindikana

Waziri wa Usalama wa ndani wa nchi hiyo Abdirasak Omar Mohamed amesema wanamgambo hao walivamia hotel za Weheliye na Siyaad ili kuwashambulia wananchi waliokuwa wanafutar lakin hawakufanikiwa baada ya kushambuliwa.

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Nicholas Kay, amesema mbali na kuuwawa kwa wanamgambo hao pia wananchi ,wananajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika AMISOM pamoja na Maofisa wa Serikali wamejeruhiwa.

Post a Comment

0 Comments