Business

header ads

CCM YAMTEUA DKT JOHN POMBE MAGUFULI KUWANIA URAIS

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Maalmu CCM wamemchagua kwa kishindo Dk. John Pombe Magufuli kuwa mgombea wao wa urais atakayeipeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Katika matokeo ya kura yaliyotangazwa leo Mkoani Dodoma Dk. Magufuli amepata kura 2,104 ambazo ni sawa na asilimia 87.1, Balozi Amina Salum Ali alipata kura 253 ambazo ni sawa na asilimia 10.5, Dk. Asha-Rose Migiro Kura 59 ambazo ni sawa na asilimia 2.4.

Akiongea mara baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo na Mwenyekiti wa waliohusika kuhesabu kura Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, mgombea urais wa CCM Dk. John Magufuli alikuwa na haya ya kusem


Aidha, Katika Mkutano huo Chama cha Mapinduzi (CCM) kilimtangaza mgombea mwenza wa Dk. John Pombe Magufuli, katika kinyang'anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu ambaye Samia Salum Hassan

Nao baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wametoa amaoni yao kuhusu Dk. John Pombe Magufuli kuchaguliwa kugombea urais kwa tikiti ya CCM, katika mahojiano yaliyofanywa na East Africa Radio.

Post a Comment

0 Comments