Business

header ads

MOTO WATEKETEZA MALI ZA WATU KENYA

Moto mkubwa umeliteketeza soko la Gikomba Jijini Nairobi na kuharibu mali za mamilioni ya shilingi za Kenya.

Moto huo ulianza majira saa tisa ya kuamkia leo, umeteketeza mali kadhaa zikiwemo nguo za mitumba pamoja na maduka ya vitu vyenye thamani katika soko hilo.

Polisi wamesema bado hawajajua chanzo cha moto huo, ambapo magari matano ya kikosi cha zimamoto yametumika kuuzima moto huo.

Post a Comment

0 Comments