Business

header ads

MAYWEITHER AONGOZA KWA KUINGIZA MPUNGA MWINGI 2015

 
 
Floyd Mayweather ndio mwanamichezo aliyeingiza fedha nyingi zaidi duniani katika kipindi cha miaka 12, kwa mujibu wa jarida la Forbes.

Bondia huyo ameingiza dola milioni 300 katika kipindi hicho.
Fedha zake nyingi zimetokana na pambano lake la May 2 na Manny Pacquiao ambaye yeye aliingiza dola milioni 160 na kumfanya ashike nafasi ya pili.
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amekamata nafasi ya tatu kwa kuingiza dola milioni 79.6.
Hii ndio orodha nzima:
1.Floyd Maywether $ 300 mill.
2.Mann Pacquiao $ 160 mill.
3.Cristiano Ronaldo $ 76.9 mill.
4.Lionel Messi $ 73.8 mill.
5.Roger Federer $ 67 mill.
6.Lebron James $ 64.8 mill.
7.Kevin Durant $ 54.1 mill.
8.Phil Mickelson $ 50.8 mill.
9.Tiger woods $ 50.6 mill
10. Kobe Bryant $ 49.5 mill

Post a Comment

0 Comments