Business

header ads

JENNIFA LOPEZ KUENDA AKAFUNGWA MIAKA MIWILI

Muimbaji na Muigizaji Jenifa lopez  huenda kakakbiliwa na kifungo cha miaka miwili jela baada ya kumwaga radhi mbele ya waziri mkuu wa Morocco

Kwa mujibu wa tovuti ya MTV msanioi huyo mahiri mwenye umri wa miaka 45 alifanya hayo katika tamasha la Mawazine world international music festival mjini Rabat.

Waziri mkuu wa nchi hiyo Abdelina Benkirane alikuwepo lakini hakufurahishwa na mikao ya mitego ya mazvazi ya nusu utupu aliyokuwa maevaa mwimbaji huyo.

Benkirane amesema shoo hiyo haikuwa na staha na ilikuwa ikiwadhalilisha wanawake huku akilaani kitendo cha kuonyeshwa kwenye luninga kuwa imekiuka sheria za nchi hiyo.

Post a Comment

0 Comments