Business

header ads

50 CENT AMKUMBUKA VIVIKA FOX

Mwimbaji 50 Cent amekiri kuwa vya kale ni dhahabu baada ya kuweka wazi kuwa hakuna mwanamke anayempenda siku zote za maisha yake kama Vivica Fox.

Cent aliiambia tovuti ya lifestyle kuwa licha ya kupenda kujihusisha na wanawake wengi hajapa anayefanana na Fox na kumjali mapenzi na kumtuliza.

Alisema wakati anatoka na mwanamama huyo hakuona thamani yake alikuwa bado kijana lakini kadri siku zinavyokwenda anabaini alipoteza kitu muhimu maishani.

“Kwa sasa siwezi kubadili matokeao nilimsumbua kwani nilikuwa kijana hawezi kuwa wangu tena tutabaki kuwa marafiki wa karibu” alisema Cent.

Post a Comment

0 Comments