Business

header ads

NIMETEMBEA KWA UWEZA WA MUNGUASKOFU GWAJIMAIMG-20150405-WA0063

Askofu Gwajima ametumia muda wa ibada ya jana katika kanisa la Ufufuo na Uzima Kawe,kuweka wazi baadhi ya mambo ya msingi yaliyozua maswali katika jamii.Ameweka bayana ya kuwa yeye binfsi pamoja na Kanisa lake hawana ugomvi wala mgogoro na Jeshi la pilisi nchini.
Vilevile amesema kuwa hakuna mtu atakayeweza kumchagulia rafiki kwani marafiki alionao ambao ni Dr.Slaa (Katibu Mkuu wa Chadema) alkhalika Mh.Edward Lowasa (mbunge) ametoka nao mbali na wameishi kwa pamoja kwa muda mrefu kwahiyo mtu yeyote yule anayeona yeye kuwa na watu hao ni kosa au inamuumiza kwa njia moja au nyingine basi asahau kuharibu urafiki wao uliojengwa kwa muda mrefu.
Kwa upande mwingine ameweka wazi ya kuwa alikataa kutibiwa katika hospitali ya Jeshi la Polisi kule Kurasini kwa sababu matatizo aliyoyapata hata kuzimia aliyapata akiwa polisi kwahiyo hakuona umuhimu wa kuendela kuwa chini ya hospitali ya Jeshi la Polisi ambalo hali aliyonayo sasa aliipata akiwa mikononi mwa Jeshi la Polisi ndipo alipoomba kupelekwa kwenye hospitali nyingine mbali na hapo.
Lakini pia Askofu Gwajima ameweka wazi ya kuwa hataacha kuwakemea watu wote watakaofanya makosa katika jamii pasipo kuogopa wala kuficha jambo lolote.Kadharika amekazia ya kuwa Askofu yeyote atakayekwenda kinyume na maamuzi ya pamoja ya maaskofu wote pamoja na baraza la maaskofu hataacha kumkemea kwani nia ya maaskofu wote ni kuhakikisha amani ya nchi hii inadumu daima na hivyo yeyote atakayesababisha au kwenda kinyume na jambo hili ni lazima atamkemea hadharani bila hofu.
IMG-20150405-WA0078
Askofu Dr.Josephat Gwajima akiwa na Mke wake Mchungaji mwandamizi Pastor Grace Gwajima wakiabudu.
IMG-20150405-WA0079
Ibada ilianza hivi….Mch mwandamizi Pastor Mwangasa akiwa ana mkaribsha Askofu Gwajima kuhubiri.
IMG-20150405-WA0080
IMG-20150405-WA0076
IMG-20150405-WA0075
IMG-20150405-WA0064
IMG-20150405-WA0065
Ndipo akaona kukaa kwenye wheel chair haiwezekani tenaaaaaaaaaa kwa jina la Yesu.
IMG-20150405-WA0067
Umati mkubwa wa watu ukishangilia na kulia huku wakimshukuru Mungu kwa machoziii
IMG-20150405-WA0087
IMG-20150405-WA0068
IMG-20150405-WA0069
Akamwita mbele binti aliyewai kufa akamfufua katikati ya ibada….hapo ndipo wivu wa Bwana ukamla.Kulia kwako ni binti aliyefufuliwa.
Wakati Askofu Gwajima akitembea Nyumba ya Ufufuo na Uzima ilikuwa ikiomba huku Gwajima akiendelea kujitahidi kutembea.
IMG-20150405-WA0039
HAPA NDIPO ASKOFU GWAJIMA AKAANZA KUTEMBEA SIKU YA JANA

SOURCE: UNCLE JIMMY BLOG

Post a Comment

0 Comments