Business

header ads

MGOMBEA NAFASI YA UWAKILISHI UBUNGE JIMBO LA TANGA MJINI BAKARI NAUMA ARUDISHA FOMU


 Mgombea Ununge kwa Tiketi ya CUF bakari Nauma akiweka sera zake hadharani baada ya kurudisha Fomu kwaajili ya nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Tanga Mjini.
Mgombea nafasi ya uwakilishi jimbo la Tanga ndani ya chama cha wananchi CUF baada ya kurudisha fomu tayari kwaajili ya kura za maoni.

Post a Comment

0 Comments