Business

header ads

JWTZ LASEMA LIMEJIIMARISHA KATIKA KUKABILIANA NA TISHIO LA UGAIDIJeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ limesema linaendelea kuimarisha ulinzi nchini kufuatia tishio la ugaidi katika nchi za jirani kwa kushiriakan na vyombo vingine vya ulinzi na usalama .

Akiongea leo jijini Dar es Salaam mara baada ya kukutana na mkuu wa Jeshi la Malawi Ignacio Maulana, Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ , Jenerali Davis Mwamnyange amesema wanafanya juhudi mbalimbali za kuimalisha ulinzi ikiwa ni pamoja na kuongeza vifaa .

Akizungumzia uhusiano kati ya Malawi na Tanzania, Jenerali Mwamnyange amesema wanaendelea kuimarisha uhusuano baina ya nchi hizi mbili ikiwa ni pamoja na kushirikiana katika mafunzo ya kijeshi

Post a Comment

0 Comments