Business

header ads

CHADEMA YATANGAZA KUMVUA UANACHAMA ZITO KABWE


Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demekrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Tundu Lissu ametangaza rasmi kuvuliwa uanachama wa chama hicho Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Zuberi Kabwe.

Akiongea na East Africa Radio Mhe. Lissu amesema hatua hiyo imekuja baaada ya Mahakama Kuu ya Tanzania leo kutupilia mbali mapingamizi yote, na kufuta kesi iliyofunguliwa na Mbunge huyo ya kupinga kufukuzwa uanachama wa chama cha CHADEMA

Post a Comment

0 Comments