Business

header ads

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA DAR ES SALAAM

Msimamizi wa Upigaji Kura Faudhia Mbawala akihakiki majina ya washiriki wa wapiga kura katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Hekima Buguruni, wanaongalia kutoka kushoto ni  Abasi Mzee wakala wa Chama cha Mapinduzi, Omary Issa Wakala wa CUF na Abubakari Said Wakala wa ADC, leo jijini Dar es Salaam.
 Msimamizi wa Upigaji Kura Faudhia Mbawala akihakiki majina ya washiriki wa wapiga kura katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Hekima Buguruni, wanaongalia kutoka kushoto ni  Abasi Mzee wakala wa Chama cha Mapinduzi, Omary Issa Wakala wa CUF na Abubakari Said Wakala wa ADC,leo jijini Dar es Salaam.
 Mkaazi wa Buguruni, Wilaya ya Ilala akipiga  kura  kuchagua viongozi  wa Serikali za Mitaa katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Hekima, leo jijini Dar es Salaam


 Wakazi wa Tabata Kimanga, Wilaya ya Ilala wakiwa katika foleni ya kuhakiki majina yao  kwa ajili ya lupiga kura na kuweza kuwachaguwa viongozi wao wa Serikali za Mitaa katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Kimanga, leo jijini Dar es Salaam (Picha na Lorietha Laurence-Maelezo)
 Wakazi wa Tabata Kimanga, Wilaya ya Ilala wakiwa katika foleni ya kuhakiki majina yao  kwa ajili ya lupiga kura na kuweza kuwachaguwa viongozi wao wa Serikali za Mitaa katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Kimanga, leo jijini Dar es Salaam
 Wakazi wa Tabata Kimanga, Wilaya ya Ilala wakiwa katika foleni ya kuhakiki majina yao  kwa ajili ya lupiga kura na kuweza kuwachaguwa viongozi wao wa Serikali za Mitaa katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Kimanga, leo jijini Dar es Salaam 
 Wakazi Buguruni, Wilaya ya Ilala wakiwa katika foleni kwa ajili ya kupiga kura na kuweza kuchagua viongozi  wa Serikali za Mitaa katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Hekima, leo jijini Dar es Salaam 
 Mkaazi wa Kariakoo Mashariki, Kata ya Kariakoo akishiriki katika upigaji kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa leo jijini Dar es Salaam
 Mkazi wa Buguruni Wilaya ya Ilala akishiriki zoezi la kupiga kura katika kituo cha kupigia kura Shule ya Msingi Hekima, kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa leo jijini Dar es Salaam
Wakazi wa Kariakoo Mashariki, Kata ya Kariakoo wakiwa katika foleni kwenye kituo cha Shule ya Msingi Lumumba  kwa ajili ya kupiga kura  katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa leo jijini Dar es Salaam
 Mkazi wa karikoo Mashariki  Kata ya Kariakoo Bw. Fumbuka Ditopile akipiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba ,kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa Mitaa akiwemo  Mwenyekiti  na Wajumbe leo jijini Dar es Salaam.
 Mkazi wa karikoo Mashariki  Kata ya Kariakoo akipiga kura katika kituo cha kupigia kura cha Shule ya Msingi Lumumba 
 Msimamizi wa upigaji kura, Mwalimu Lucy Buzuka akitoa maelekezo kwa wapiga kura wa Kariakoo Mashariki, Kata ya Kariakoo jinsi ya kupiga kura katika zoezi la kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa ambapo siku ya leo jijini Dar es Salaam.
Msimamizi wa upigaji kura, Mwalimu Lucy Buzuka akitoa maelekezo kwa wapiga kura wa Kariakoo Mashariki, Kata ya Kariakoo jinsi ya kupiga kura katika zoezi la kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa ambapo siku ya leo jijini Dar es Salaam. Picha zote na Lorietha Laurence-Maelezo

Post a Comment

0 Comments