Business

header ads

ANZA YA MVUA JIJINI DAR LEO
Baada ya mvua ya kubwa ya kama masaa mawili mfululizo,maeneo mengi jijini Dar yamejaa maji na kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa jiji hili.Pichani ni eneo la Morogoro Road.

Barabara ya Bibi Titi Mohamed mambo yalikuwa namna hii,wenye magari madogo walipita kwa staili ya maji ya shingo.

Matolori ya kuuzia ice creame yakionekana kununiwa leo,huku wapita njia wakiendelea kupiga mbizi kwenye maji hayo.

Hapa ndio inakuwaga kimbebe,maana daladala ndio lishabuma tena.

Hakuna namna nyingine ya kuyakwepa maji haya.hapa ni Posta mpya leo.
SOURCE; MICHUZI BLOG

Post a Comment

0 Comments