Business

header ads

UANDIKISHAJI WA SERIKALI ZA MITAA WAENDELEA


Mkazi wa Mtaa wa Mivinjeni , Asha Bakari (kushoto) akijiandikisha  leo kwa mwandikishaji wa kituo cha cha kujiandikisha  cha kura  kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Beatrice Likundo  kilichopo kwenye Shule ya Msingi Mivinjeni jijini Dares Salaam.


Mkazi wa Mtaa wa Mivinjeni ,Gilbert Katoto (kulia) akitia saini leo mara baada ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali Mitaa  katika kituo cha kujiandisha k cha Katakiu  kwa Bea  kilichopo kwenye  Mtaa wa  Mivinjeni  jijini Dares Salaam.Kushoto ni Mwandikishaji wa kituo hicho, Isabela  Mwera.

Mkazi wa Mtaa wa Shimo la Udongo, Abdallah  Rashid Abdallah (kushoto) akitia saini leo   mara baada ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa leo jijini Dares Salaam katika kituo cha polisi cha Shimo la Udongo.Kulia ni mwandikishaji wa kituo hicho, Nongaki Hassan.

Picha na Magreth Kinabo

Post a Comment

0 Comments