Business

header ads

PATO LA TAIFA LAONGEZEKA KWA ASILIMIA 7.4 Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morice Oyuke (katikati) akitoa ufafanuzi mbalimbali katika mkutano huo. Kushoto ni  Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Uchumi, Stephen Kirama na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, Oswald Ruboha.

Tanzania inaongoza kwa ukuaji wa pato la taifa GDP kwa nchi za Afrika Mashariki ambapo kwa mwaka huu pato limekua kwa asilimia 7.4 ikilinganishwa na mwaka jana ambapo ukuaji ulikua ni asilimia 7.1

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi kutoka Ofisi za Takwimu nchini Tanzania Bw. Moris Oyuke amesema ukuaji huo wa pato la taifa umechangiwa kwa kiasi kikubwa na sekta ya Madini, Umeme pamoja na Kilimo.

Post a Comment

0 Comments