Business

header ads

MOI YAKABILIWA NA UHABA WA VITANDAHospital ya taifa ya muhimbili kitengo cha Moi jijini Dar-es -salaam nchini Tanzania imesema inakabiliwa na uhaba mkubwa wa vitanda vya kulaza wagonjwa kutokana na sasa wodi moja kulaza wagonjwa zaidi ya 70
badala ya wagonjwa 30 kama inavyotakiwa.


Afisa muuguzi wa wodi ya Mwaisela Rose Roda amesema idadi kubwa ya wagonjwa wanaofikishwa hapo wanatokana na ajali za barabarani ambapo kwa siku wanapokea wagonjwa 30 waliopata ajali mbali mbali

Amesema kuna haja ya wadau kusaidia hali hiyo ambayo amesema imekuwa ikiongezeka siku hadi siku huku kukiwa hakuna jitihada zozote zinazochukuliwa za kukabiliana na hali hiyo.

Post a Comment

0 Comments