Business

header ads

DAWASCO YAPATA HASARA YA BIL 4Wizara ya maji nchini Tanzania imesema Mamlaka ya maji jijini Dar es salaam DAWASCO inapoteza asilimia 56 ya maji yanayoingia jijini kila mwezi yenye thamani ya shilingi Bilioni 4.45


Akiongea jijini Dar es salaam Waziri wa maji Prof. Jumanne Maghembe Wakati akizindua bodi ya 3 ya wajumbe wa DAWASCO amesema maji mengi yanapotea kwa kuibiwa na watu pamoja na uharibikaji wa mabomba na hivyo kupelekea mamlaka ishindwe kujiendesha.

Prof.Maghembe amesema katika utafiti uliofanyika imebainika kuwa wako baadhi ya watumishi wa DAWASCO wanaohusika na hujuma na wizi wa maji hivyo ameitaka bodi aliyoiteua kuwatambua watu hao ili iweze kuwachukulia hatu za kisheria.

Post a Comment

0 Comments