Business

header ads

WANAFUNZI BORA KATIKA SOMO LA KEMIAWanafunzi bora kitaifa kwenye somo la Kemia Kidato cha Nne mwaka 2011 na 2012 na Kidato cha Sita mwaka 2012 na 2013
wakiwa na nyuso za furaha baada ya kutunukiwa zawadi ya vyeti na fedha kwenye hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Zawadi Mdoe, Lucylight Mallya, Faith Assenga na Norbert Kimaryo.

Post a Comment

0 Comments