Business

header ads

JE KITIMOTO NI NAJISI?

Katika kujadili suala la vyakula haswa katika ngazi ya imani haswa katika kikristo Ukristo kumekuwepo na mijadala mbalimbali.

Katika ibada ya shule ya jumapili kanisa la EAGT Sinza, Mwl Tila akaanzisha mjadala kuhusu suala la chakula haswa ulaji wa nyama ya nguruwe maarufu kama kitimoto.

Mchangiaji wa kwanza akaeleza jinsi agano la kale lilivyokataza baadhi ya vyakula vikiitwa najisi lakini akaeleza baada ya agano la kale(Mambo ya walawi) likaja agano jipya ambapo akitoa mfano wa Yesu kutakasa vyote alipokufa msalabani.( Marko 7)

Baadhi ya maandiko yanayochanganua suala la uhalali au ubatili wa matumizi ya nyama hii yanatoka katika Mathayo 15:17 ,1wakorintho 10:23/8:9-13.

Je una maoni zaidi karibu kuchangia :emateru@gmail.com

Post a Comment

0 Comments