Business

header ads

HALI HALISI DARAJA LA UBUNGO SAM NUJOMA

Maji yakiwa mengi chini ya daraja hilo.
Vijana wakichimba mchanga chini ya daraja hilo.
Muonekano…
Maji yakiwa mengi chini ya daraja hilo.
Vijana wakichimba mchanga chini ya daraja hilo.
Muonekano halisi wa maji yanayopita chini ya daraja hilo.
Kazi na dawa.
Hapa ndipo mchanga unapokusanywa.
Nyumba hii iko kandokando ya mto unaopita katika daraja hilo.
Udongo unazidi kumomonyoka.
 
Vijana nao wamepata ajira kwa kuchimba mchanga bila kujali athari zake.
Kuna uharibifu mkubwa wa hatari wa mazingira katika daraja la Ubungo, Sam Nujoma, ambapo mtandao huu uliwakuta watu wakichimba mchanga bila kuchukuliwa hatua yoyote na vyombo vya dola.
Mwandishi wa mtandao huu alikuta vijana wengi wakichimba mchanga chini ya daraja hilo, hali inayohatarisha usalama wa daraja hilo ambalo linaweza kumeguka kutokana na mmomonyoko wa ardhi unaotokea eneo karibu na daraja hilo.
Picha zote na Gabriel Ng’osha/GPL

Post a Comment

0 Comments