Business

header ads

KAZI NI KAZI

Leo baada ya ibada ya pasaka nkamtembelea swahiba wangu wa enzi za zimu za vibandani Akim.
Jina hili lilianza kutokana nayeye kuingia katika fani ya muziki wa kufokafoka.

Nkiwa kijiweni kwake namkuta akizichanga fedha kwa aina yake kutumia mashine ijulikanayo kama betting premier.
Anaeleza vijana kwa wazee wamekuwa wakipata fedha za kutosha kupitia njia hii ya kutabiri matokeo ya mpira ligi mbalimbali za ulaya.

Wataka kujua ni jinsi gani mchezo huu wachezwa na faida zipatikanazo? Usikose simulizi ijayo.

Post a Comment

0 Comments