Business

header ads

Art; VENJI MGENI AUAGA UKAPERA

Msanifu wa majengo Venjislous Mgeni,jana aliuaga ukapera baada ya kufunga pingu za maisha na Oliver Stanley.Harusi iliyofungwa na Mch Dr Alphonce Mwanjala wa kanisa la EAGT bethlehemu sinza Dar es salaam.

Mtandao huu unatoa pongezi heri na fanaka katika maisha yao mapya wakiwa mke na mume. Mr & mrs VO Mgeni.

Post a Comment

0 Comments