Business

header ads

UVUVI WA SAMAKI ZIWA TANGANYIKA Akina mama wakiwa na madishi yao ya samaki,akina mama wengi eneo hilo wameeleza kuwa wanafaidika na biashara hiyo ya samaki kwa kujiingizia kipato na hatimaye kujikwamua na ugumu wa maisha,wameeleza kuwa changamoto yao kubwa ni mitaji ya kutosha ili kuendeleza biashara hiyo ambayo Wanawake wengi hujishughulisha nayo.
 Dishi lililobebwa samaki aina ya Migebuka huuzwa shili Elfu Thelathini
Wavuvi wakirejea baada shughuli yao ya uvuvi kufanyika katika bandari ya Kabwe,Wilayani Nkasi mkoani Rukwa mapema leo.
Picha na MichuziJr-MICHUZI MEDIA GROUP-NKASI RUKWA

Post a Comment

0 Comments