Business

header ads

MSIBA WA VICKY MACHA VILIO,SIMANZI VYATANDA

Mlezi  wa Klabu  ya  waandishi wa habari mkoa  wa Iringa (IPC) Salim Abri Asas ( wa  pili  kulia) akishiriki  kusafirisha na kuaga mwili wa mwanahabari Vicky Macha  leo
Wanahabari  Iringa  wakilia kwa uchungu wakati  wa zoezi la kuaga mwili wa marehemu Vicky Macha leo,kabla ya kuondoka kwenda Moshi mkoa wa Kilimanjari kwa mazishi   hapa Kesho
Wanahabari  wakilia kwa uchungu kwa kifo cha ghafla cha mwenzao Vicky Macha wa gazeti la Nipashe na mwekahazina wa IPC
Mwanahabari Zulfa Shomari akioaga mwili wa Vicky Macha nyuma ni wananchi na viongozi wa dini

Familia ya Vicky Macha na  ndugu wakiaga mwili wa Vicky Macha leo
Mlezi wa IPC Salim Abri (kushoto) akiaga mwili  wa Vicky Macha leo
Waombolezaji  wakiwa tayari kwa kuaga mwili wa marehemu Vicky Macha leo

Kutoka  kushoto ni mwanahabari Sima Bingileki  na Janeth Matondo ambaye ni mjumbe wa kamati ya utendaji IPC na Oliver Moto
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa Tumain Msowoya (mwenye koti jekundu ) akiwa na wanahabari wenzake katika kuaga mwili wa Vicky Macha
Mmmoja kati ya  wanahabari akiwa ameanguka chini baada ya  kuaga mwili wa Vicky Macha leo
Wananchi mbali mbali na  wanahabari  wakiwa wameubeba mwili wa marehemu Vicky Macha tayari kwa safari ya kwenda katika gari ili kuondoka kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro kwa Mazishi hapo kesho.

Post a Comment

0 Comments