Business

header ads

MTUHUMIWA WA MAUAJI YA DAUDI MWANGOSI AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

Baadhi ya wanahabari wakitoka mahakamani
-->
Askari anayetuhumiwa kumuua Daudi Mwangosi leo amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya mkoa wa Iringa na kusomewa mashitakata yake. Huku akiwa chini ya ulinzi mkali ambao ulifanya wanahabari waliofika mahakamani kujitahid kupata picha kwa ugumu.
Akisoma mashtaka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya Daines lymo mwendesha mashtaka ameeleza kuwa mtuhumiwa Pacificus Cleophase Simon (23. HABARI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE

Post a Comment

0 Comments